MAUMIVU WAKATI WA HEDHI (PERIOD PAIN)

 


Leo tutaangalia kuhusiana na maumivu ya tumbo wakati wa hedhi.Maumivu wakati wa hedhi ni ile hali mwanamke anajisikia maumivu ya tumbo (chini ya kitovu) wakati wa hedhi hali hii huwa inatokea mara nyingi kabla ya hedhi au huambatana na hedhi kwa pamoja. 


Comments